1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu 10 wafariki baada ya kunywa pombe haramu

Josephat Nyiro Charo26 Julai 2010

Pombe hiyo iliuzwa kwenye mtaa wa walalahoi wa Kibera mjini Nairobi

Taswira ya mtaa wa Kibera, jijini NairobiPicha: DW

Watu 10 wamekufa baada ya kunywa pombe haramu ya kufisha katika mkoa w amabanda wa Kibera mjini Nairobi, Kenya. Wakithibitisha tukio hilo, polisi wamesema watu hao walikufa katika maeneo tofauti baada ya kunywa pombe hiyo jana usiku.Mwandishi wetu Alfredf Kiti ametutumia ripoti ifuatayo.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi