1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu 11 wafa katika mlipuko wa lori la mafuta Uganda

01:24

This browser does not support the video element.

23 Oktoba 2024

Katika mkasa wa kusikitisha watu 11 wakiwemo watoto wawili wamekufa nchini Uganda, baada ya lori la mafuta kupata ajali na kisha kulipuka. Kama ilivyo kawaiwa katika ajali za namna hiyo, watu walikimbilia lori lilipoanguka ili kujaribu kuchota mafuta. #kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW