1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Migogoro

Watu 113 wauawa katika mashambulizi katikati mwa Nigeria

25 Desemba 2023

Zaidi ya watu 100 wameuawa katika mkururo wa mashambulizi katikati mwa Nigeria.

Nigeria |Wanajeshi kazini
Nigeria imekuwa ikikabiliwa na hali tete ya usalama.Picha: Sunday Alamba/AP/picture alliance

Zaidi ya watu 100 wameuawa katika mkururo wa mashambulizi katikati mwa Nigeria, katika mkururo wa mashambulizi dhidi ya vijiji, wamesema maafisa wa serikali za mitaa siku ya Jumatatu.

"Miili isiopungua 113 imegunduliwa mnamo wakati uhasama ulioanza siku ya Jumamosi ukiendelea hadi Jumatatu asubuhi," Monday Kassah, mkuu wa serikali ya mtaa katika eneo la Bokkos, Jimbo la Plateau, aliiambia AFP.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW