Watu 28 wauwawa katika mripuko wa soko la vitabuMohamed Dahman05.03.20075 Machi 2007Bomu lililotegwa kwenye gari limeripuka kwenye soko la kale kabisa la vitabu leo hii na kuuwa watu 26 pamoja na kujeruhi wengine kadhaa katika shambulio jipya dhidi ya mpango wa Marekani na Iraq wa kukomesha umwagaji damu katika mji mkuu wa Baghdad.Nakili kiunganishiMiripuko ya mabomu yaendelea kuutingisha mji mkuu wa Baghdad licha ya kuimarishwa kwa usalama mjini humo kama inavyoonekana pichani.Picha: APMatangazo Benutzername: Passwort: