Watu kadhaa watiwa mbaroni visiwani Zanzibar
20 Aprili 2012![Wananchi wa Zanzibar sasa wapo katika harakati za kutafuta katiba mpya](https://static.dw.com/image/6109367_800.webp)
Matangazo
Viongozi 12 wa harakati za kuupinga muungano huo wamekamatwa asubuhi ya leo na jeshi la polisi katika viwanja vya baraza la wawakilishi walikokuwa wamekwenda kwa lengo la kuwashindikiza wawakilishi waitishe kura hiyo ya maoni. Mwandishi wetu Wa Zanzibar Salma Said ameshuhudia tukio hilo na kuweza kuandaa ripoti ifuatayo.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Salma Said
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman