Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Rwanda imetangaza orodha rasmi ya wapiga kura milioni 6.8 watakaoshiriki kwenye uchaguzi wa Rais utakaofanyika Agosti. Nao waangalizi wa uchaguzi kutoka AU wamewasili Kigali.
Matangazo
J3 20.07.2017 WAPIGA KURA RWANDA WATANGAZWA - MP3-Stereo