1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu Milioni 800 wanaishi kwenye umasikini uliokithiri

02:01

This browser does not support the video element.

Lilian Mtono
17 Oktoba 2017

Dunia yaadhimisha siku ya kupambana na umasikini, Bangladesh kujenga kambi kubwa zaidi ya wakimbizi wa Rohingya na Kiongozi wa muungano wa NASA, Raila Odinga asitisha maandamano, kuwaenzi waandamanaji waliouawa.