Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semanya alitawala vyombo vya habari wakati aliposhinda medali ya dhahabu kama mwanamke. Lakini jinsia yake ilileta utata kutia doa mafanikio yake. Hiki ni kitu ambacho watu wanaoitwa "wa jinsia ya tatu" wanaweza kukihusisha. Ryan Muriri ni mmojawapo. Tizama video ifuatayo.