Watu wanaojali – Kipindi 02 – Mkimbiaji wa Ethiopia29.03.201129 Machi 2011“Licha ya changamoto zote, lazima nifaulu!” anasema Toshome Shumi. Tukutane na Toshome, katika maeneo ya milima ya Ethiopia na tusikie hadithi ya kijana huyu aliyedhamiria kufaulu.Nakili kiunganishiMatangazo