1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wapatao 50 wafa kwa moto Ugiriki

00:56

This browser does not support the video element.

Josephat Charo
24 Julai 2018

Moto huo ulizuka katika maeneo maarufu ya mapumziko upande wa pwani karibu na mji mkuu Athens siku ya Jumatatu, na kuna hofu idadi ya vifo huenda ikaongezeka.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW