1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wauawa kambi ya wakimbizi DRC

28 Novemba 2016

Watu wapatao 35 wameuliwa kwenye kambi ya wakimbizi kijijini Luhanga, mkoani Kivu ya Kaskazini. Wanamgambo wa Maimai Mazembe wanashukiwa kuendesha mauaji hayo yaliyowalenga watu wa kabila la Hutu.

Kambi ya wakimbizi DRC
Picha: MONUSCO/Abel Kavanagh
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW