Balozi wa Somalia nchini Ethiopia,Abdukarin Farah amesema serikali yake itawaachia huru watuhumiwa 29 wa ugaidi kutoka mataifa mbali mbali ambao sasa wako chini ya ulinzi wa serikali ya Ethiopia,Addis Ababa.
Matangazo
Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura anaripoti zaidi kutoka Addis Abeba.