1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watumbuizaji misibani wanaosakata rumba wakibeba jeneza

03:22

This browser does not support the video element.

25 Septemba 2020

Matanga hujaa huzuni kwa familia zilizofiliwa. Lakini nchini Ghana, lipo kundi ambalo limesambaa sana katika mitandao ya kijamii kutokana na densi zao wakiwa wamebeba jeneza kwa lengo la kumpa marehemu buriani kwa njia ya furaha huku wakiwatumbuiza waombolezaji. Tazama kwenye makala zetu za video za Vijana Mubashara 77Asilimia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW