1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watumia taka kutengeza gesi ya kupikia

01:25

This browser does not support the video element.

27 Novemba 2018

Katika kijiji kimoja kidogo nchini Benin, wenyeji wanasema taka ni dhahabu. Wakfu mmoja kutoka Uswisi kwa jina ReBin umefungua kituo kinachobadilisha taka za nyumbani na kuzitumia katika mapishi kama gesi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW