Asili na mazingiraAfrikaWatumishi wa serikali Tanzania walioko Ngorongoro wahamishwa02:54This browser does not support the video element.Asili na mazingiraAfrika25.08.202325 Agosti 2023Serikali ya Tanzania imeanza tena kuwahamisha waajiriwa wake walioko katika hifadhi ya Ngorongoro kama sehemu ya juhudi za kuwaondoa watu wote eneo hilo la uhifadhi wanyama pori. Ahmad Juma alizuru hifadhi hiyo na anasimulia zaidi.Nakili kiunganishiMatangazo