Wazanzibari sasa watalipia huduma ya kupatiwa maji safi na salama
30 Septemba 2008Matangazo
Serikali ya Zanzibar imeanza kuwatoza fedha wananchi kwa huduma ya maji safi na salama kuanzia mwezi Agosti 2008, ambapo wananchi wa kawaida watalipa shilingi 4,000, huku nyumba za ibada, ikiwemo misikiti na makanisa, itatakiwa ilipe shilingi 3,000, na ofisi za serikali zitatakiwa kulipa kuanzia shilingi 20,000 hadi laki mbili, itategemea na matumizi ya ofisi hizo ambapo viwango hivyo vitatakiwa kulipwa kila mwezi.
Zaidi ni kutoka kwa mwandishi wetu wa Visiwani Zanzibar, Salma Said