1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wazanzibari washangilia Tuzo ya Gurnah

01:58

This browser does not support the video element.

8 Oktoba 2021

Siku moja baada ya Profesa Abdurazak Salum Gurnah kutunukiwa nishani ya Nobel katika kipengele cha Fasihi, wazanzibari wengi wamefurahishwa na ushindi huo.