1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wazanzibari watoa maoni kuhusu uchaguzi

02:20

This browser does not support the video element.

29 Oktoba 2020

Baadhi ya wananchi visiwani humo wametoa maoni yao juu ya mwenendo wa uchaguzi huku mgombea urais visiwani humo kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Maalim Seif akiitisha maandamano baada ya kutokuridhishwa na mwenendo wa uchaguzi huo. Hata hivyo Maalim alikamatwa na polisi baada ya wito huo. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW