1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wazee wa McCann warudi Uingereza

9 Septemba 2007

LONDON:

Wazee wa misichana wa kingereza alietoweka huko Ureno-Madeline McCann, amefunga leo safari ya kuelekea Uingereza baada ya kutangazwa rasmi na polisi ya ureno ni washukiwa katika kutoweka kwa binti yao.

Kate na Gerry McCann, wamedai katika mazungumzo na magazeti kuwa polisi ya Ureno inajaribu kuwatia hatiani.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW