1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Mkuu wa India aanza ziara nchini Urusi

8 Julai 2024

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ameanza hivi leo ziara ya siku mbili nchini Urusi ambapo anatazamiwa pia kufanya mazungumzo na rais Vladimir Putin.

Narendra Modi  na Vladimir Putin
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akiwa na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin Picha: Mikhail Metzel/TASS/dpa/picture alliance

Hii ni ziara ya kwanza ya Modi tangu Urusi ilipoanzisha uvamizi wake nchini Ukraine. Urusi imekuwa na uhusiano mkubwa na India tangu enzi za Vita Baridi. 

Waziri Mkuu wa India Modi aelekea Moscow, Vienna wiki ijayo

India na China zimekuwa washirika wakuu wa biashara wa Moscow kwa kununua mafuta yake yanayopatikana kwa bei nafuu kutokana na vikwazo vilivyowekwa na mataifa ya magharibi.
 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW