1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri wa mambo ya nje wa China kuizuru Ujerumani, Ufaransa

Daniel Gakuba
8 Mei 2023

ziara hiyo imefuatia mialiko kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock.

China Außenminister Qin Gang
Picha: Jade Gao/AFP/AP/picture alliance

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Qin Gang, anaanza ziara siku ya Jumatatu itakayomfikisha katika nchi tatu za Ulaya, ambazo ni Ujerumani, Ufansa na Norway.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China, Wang Wenbin amesema ziara hiyo imefuatia mialiko kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock,

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Catherine Colonna, na mwenzao wa Norway Anniken Huitfeldt.

Hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa katika ziara hiyo inayoanza leo, na kumalizika Ijumaa. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujermani na Ufaransa walifanya ziara nchini China mwezi uliopita.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW