Asili na mazingiraWaziri wa mazingira Ujerumani ziarani Afrika27.09.201627 Septemba 2016Waziri wa mazingira wa Ujerumani Barbara Hendricks amesema Ujerumani inaichukulia Rwanda kama mshiriki muhimu kwenye suala la hifadhi ya mazingira. Waziri huyo anafanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda.Nakili kiunganishiPicha: Getty Images/AFP/O. AndersenMatangazoZIARA YA WAZIRI WA UJERUMANI RWANDA - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.