1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri wa ushirikiano wa kiuchumi na misaada ya maendeleo wa Ujerumani ziarani Rwanda

8 Januari 2010

Waziri wa maendeleo wa Ujerumani Dirk Niebel yuko mjini Kigali, Rwanda katika ziara yake ya kwanza,tokea achukue wadhifa huo.

Waziri wa Ushirikiano wa kiuchumi na misaada ya maendeleo Bw.Dirk NiebelPicha: dpa

Waziri Niebel na ujumbe wake mchana huu anatembela Hospitali kuu ya mjini Kigali kabla ya kukutana na Rais Paul Kagame, pamoja na wanadiplomasia na wawakilishi wa mashirika ya misaada ya Ujerumani nchini Rwanda.

Mwandishi wetu wa mjini Kigali Daniel Kaguba anaandamana na ujumbe na muda mfupi uliyopita na Lazaro Matalange amezungumza naye moja kwa moja kujua kile ambacho Waziri Niebel na ujumbe wake walichokifanya.

Mhariri: Aboubakary Liongo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW