1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wenye itikadi kali wauwa 33 Burkina Fasso

14 Mei 2023

Ofisi ya gavana katika jimbo la Mouhoun nchini Burkina Fasso imesema shambulizi linalohisiwa kufanywa na wenye itikadi kali huko magharbi mwa taifa hilo limesababisha vifo vya watu 33.

Burkina Faso Ouagadougou Soldaten der Armee
Picha: picture alliance / ASSOCIATED PRESS

Gavana wa jimbo hilo, Babo Pierre Bassinga, amesema jitihada za kiusalama dhidi ya wenye itikadi kali kufuatia mkasa huo ulitokea Alhamis katika kijiji cha Youlou zinaendelea.Pamoja na juhudi hiyo Gavana Bassinga aliwataka wananchi kuongeza tahadhari na kutoa ushirikiano na vyombo vya usalama.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW