Walemavu wa Ngozi wanaoishi katika kambi maalumu ndani ya shule ya msingi Mazoezi Kabanga wilayani Kasulu, wamefanikiwa kushiriki kupiga kura wakionesha alama ya wino katika vidole vyao kuthibitisha kushiriki uchaguzi
Vinjana wenye ulemavu wa ngozi wapiga kura TanzaniaPicha: DW/P.Kwigize