Wimbo ´Supa Woman´ waibua harakati za wanawake Msumbiji
01:21
This browser does not support the video element.
20 Machi 2024
Kibao ´Supa Woman´ cha mwanamuziki na mwanaharakati wa nchini Msumbiji Katia Vanessa kimeibua vuguvugu la kuwainua wanawake. Tizama video hiyo na harakati za Katia.