1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

WINDHOEK:China na Namibia zajenga uhusiano wa kiuchumi

6 Februari 2007

China na Namibia zimefikia mapatano juu ya kujenga uhusiano wa kiuchumi baina yao na kuimarisha sekta ya utalii.

Mapatano hayo yametiwa saini mjini Windhoek baina ya rais HU JINTAO wa China na wenyeji wake.China pia imeahidi kuisaidia Namibia katika ujenzi wa shule.

Rais HU JINTAO wa China ameshazitembelea nchi kadhaa za Afrika kwa lengo la kujenga uhusiano wa kiuchumi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW