Licha ya mkoa wa Kigoma magharibi mwa Tanzania kuwa na mavuno mengi ya ziwa Tanganyika, bado hakuna kiwanda cha kisasa cha kuchakata samaki wala dagaa ambao wanatajwa kuwa miongoni mwa chakula bora duniani kutokana na virutubisho vyake. Hawa Bihoga ametuandalia video ifuatayo: