1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hamas: Mashambulizi ya Israel yaua watu 48 gaza

28 Desemba 2024

Wizara ya afya ya Hamas inayodhibitwa na Hamas mjini Gaza leo imesema kuwa watu 48 wameuawa katika eneo la Wapalestina katika muda wa saa 24 zilizopita.

Gazastreifen Innenhof des Kamal Adwan Hospital in Beit Lahia nach israelischem Luftangriff
Wizara ya afya huko Gaza ya Hamas imesema watu 48 wameuawa katika muda wa saa 24 Gaza.Picha: Khalil Ramzi Alkahlut/Anadolu/picture alliance

Idadi hiyo inafanya jumla ya vifo katika vita hivyo kufikia watu 45,484.Taarifa ya wizara hiyo imefafanua kwamba watu wasiopungua 108,090 wamejeruhiwa katika zaidi ya miezi 14 ya vita kati ya Israel naHamas, vilivyochochewa na shambulio la kundi la Hamas la Oktoba 7, 2023.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW