1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

WOLSBURG:Mkurugenzi wa Volkswagen yu mahakamani

17 Januari 2007

Afisa mmoja wa ngazi za juu katika kampuni kubwa zaidi ya kutengeza magari ya Volkswagen anakabiliwa na kesi kubwa ya kashfa ya rushwa.Mkurugenzi wa zamani katika kampuni hiyo Peter Hartz anakabiliwa na mashtaka 44 yanayodai kuwa aliidhinisha takriban euro milioni mbili kutumiwa kiholela na mkuu wa baraza la wafanyikazi la Volkswagen.Waenda mashtaka wamefuta mashtaka dhidi yake Bwana Hartz kuhusika na kashfa hiyo.Bwana Hartz alikuwa mshauri mkuu wa Kansela wa zamani wa Ujerumani Gerhard Schroeder.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW