Yellen asema mahusiano ya Marekani na China yanaimarika
7 Aprili 2024Matangazo
Yellen amemwambia Qiang kwamba wana mengi ya kufanya na anaamini kuwa kwa mwaka mmoja uliopita nchi zote mbili zimejaribu kuimarisha mahusiano yao.
Lakini vile vile akataadharisha kwamba hiyo haimaanishi wanapuuzia tofauti zao ziliopo na kuepuka kuwa na mazungumzo magumu lakini ni vizuri kuelewa kuwa wanaweza kusonga mbele iwapo wataweza kuzungumza moja kwa moja kwa uwazi.
Marekani yaonya dhidi ya ruzuku ya China kwa viwanda
Mkutano wao umefanyika baada ya Marekani na China kukubaliana kuwa na mazungumzo ya kina juu ya usawa katika ukuaji wa uchumi