Kupata matubabu ni haki ya kimsingi lakini je itakuwaje ikiwa miji haiwezi ikatoa huduma hiyo? Muhyidin Dabeyl aliunda timu ya wataalamu mbalimbali wa afya na kuanzisha kundi jipya liitwalo MOHCO la kuwatembelea wagonjwa na kuwahudumia kule waliko kwa bei nafuu. Mbinu hii inaweza kutumika kwingineko ulimwenguni?