Zaidi ya watu 10 wauawa Mogadishu
2 Januari 2014![Maafisa wa polisi wakikagua mabaki ya sehemu ya jengo la hoteli ya al-Jazeera mjini Mogadishu baada ya mashambulizi.](https://static.dw.com/image/17336972_800.webp)
Matangazo
Hadi sasa hakuna hakuna kikundi ambacho kimedai rasmi kuhusika na mashambulizi hayo, lakini kundi la al-Shabaab lenye mafungamano na mtandao wa al-Qaida limekuwa likishutumiwa kwa mashambulizi kama hayo.
Hussein Aweys, mwandishi wa habari aliyeko mjini Mogadishu, anazungumzia hali ilivyo baada ya mashambulizi hayo ya jana.
Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman