1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zambia: Mahabusu husubiri muda mrefu kesi zao kusikizwa

04:38

This browser does not support the video element.

16 Oktoba 2019

Sehemu nyingi Afrika, takriban asilimia 43 ya wafungwa wote ni mahabusu ambao kesi zao hazijaanza kushughulikiwa. Wafungwa huchukua miaka mingi gerezani wakisubiri kesi kusikizwa mahakamani. Wengi wa mahabusu ni vijana ambao hawana uelewa mzuri kuhusu haki zao. Shirika la UP Zambia mjini Lusaka linawapa wafungwa hao msaada wa kisheria na kijamii

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW