Asili na mazingiraZAnzibar: Kisiwa kilichojaa taka01:08This browser does not support the video element.Asili na mazingiraIddi Ssessanga01.08.20171 Agosti 2017Zanzibar ni kisiwa cha mapumziko kinachovutia mamia kwa maelfu ya wageni. Lakini kisiwa hicho kinakabiliwa na tatizo kubwa la takataka. Kikundi kidogo cha kiraia kinafanya kazi ya kukusanya taka kutoka mitaani, na kuziuza taka hizo.Nakili kiunganishiMatangazo