SiasaZanzibar kufanyia mabadiliko katiba30.09.201630 Septemba 2016Serikali ya Zanzibar imefanyia mabadiliko katiba ili kutoa uwezo kwa Rais wa Zanzibar kuteua wajumbe wa Tume ya Uchaguzi bila kushauriana na kiongozi wa kambi ya upinzani ndani ya baraza la wawakilishi.Nakili kiunganishiBaraza la wawakilishi ZanzibarPicha: DW/S. SaidMatangazoJ3 2909 Zanzibar-Constituation Change - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.