Zanzibar: Maiti 68 zimepatikana katika ajali ya meli ya MV Skaget
20 Julai 2012
Idadi ya maiti za watu waliokufa katika ajali ya meli ya mv skaget iliyozama mapema wiki hii zanzibar ikifikia 68 huku changamto iliyojitokeza ni ya kusafirisha maiti za raia kutoka nje ya Tanzania.
Matangazo
Salma Said anaripoti kutoka Zanzibar.
(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)