1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ZEC yasema imejiandaa vya kutosha

15 Septemba 2015

Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar inasema kila kitu kimewekwa sawa, ili zoezi la uchaguzi visiwani humo liendeshwe kwa uwazi na kwa amani.

Tansania Wahlen Anhänger CUF
Picha: DW/M. Khelef

Dotto Bulendu anazungumza na Kamishna wa tume hiyo Haji Ramadhan Haji, kuhusiana na maandalizi ya uchaguzi huo.

Bonyeza alama ya kisikilizio kusikia mahojiano kati ya Dotto Bulendu na Hajji Ramadhani Hajji.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW