Ziara ya Naibu Spika Claudia Roth nchini DRC
11 Juni 2014Matangazo
Hapo jana Bi Roth alikutana kwa mazungumzo na maafisa wa ngazi ya juu katika serikali mjini Kinshasa. Mengi yalijadiliwa mukiwemo ulinzi wa mbuga ya wanyama ya Virunga ambayo inadhaniwa huenda ikatoweka kutokana na mpango wa kuchimba mafuta katika mbuga hiyo.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Kinshasa. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Josephat Charo