Ziara ya Rais Kikwete nchini Burundi20.06.200720 Juni 2007Rais wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete,ameanza ziara ya siku tatu nchini Burundi.Nakili kiunganishiRais wa Tanzania Jakaya Mrisho KikwetePicha: DWMatangazoMwandishi wetu wa mjini Bujumbura, Amida Issa anaripoti zaidi kuhusu ziara ya kiongozi huyo.