1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zimbabwe yangoja matokeo ya uchaguzi kura zikihesabiwa

01:24

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
31 Julai 2018

Shughuli ya kuhesabu kura imeshaanza nchini Zimbabwe. Wagombea wawili wakuu Rais Emmerson Mnangagwa na kiongozi wa upinzani Nelson Chamisa, wanaonekana wakibanana katika kinyang'anyiro hicho. Chamisa ajitangazia ushindi Twitter, ila matokeo rasmi bado hayakuanza kutolewa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW