1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zitto Kabwe: Magufuli ameanza na hatua nzuri ila adhibitiwe

24 Novemba 2015

Mbunge wa ACT Wazalendo amemsifu Rais wa Tanzania John Magufuli kwa maamuzi ya aliyoyachukua baada ya kuchaguliwa. Hata hivyo ametaka bunge limdhibiti kwani hana maamlaka ya kufanya maamuzi pekee yake.

Zitto Kabwe
Picha: DW

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW