1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zoezi la kuhesabu kura laanza Mali baada ya uchaguzi

01:15

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
30 Julai 2018

Mali imeanza kuhesabu kura za uchaguzi wa Jumapili, ambao ulikubwa na ghasia na hata baadhi ya vituo kushindwa kufuanguliwa. Wagombea wanaochuana kwa karibu zaidi ni rais aliyemadarakani Ibrahim Boubacar Keita na mpinzani wake mkuu Soumaila Cissé. Matokeo yatarajiwa kutangazwa Ijumaa. Papo kwa Papo 30.07.2018