1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zuma apandishwa kizimbani kwa ufisadi

01:05

This browser does not support the video element.

6 Aprili 2018

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amepandishwa kizimbani kwa kesi ya ufisadi mkubwa kwenye mkataba wa silaha katika miaka ya 1990, akikabiliwa na mashitaka 16 juu ya mkataba wa mabilioni ya dola, ambao ulifikiwa kabla hajawa rais, huku mwenyewe akidai kuwa kesi hii imechochewa kisiasa dhidi yake. Papo kwa Papo 6 Aprili 2018.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW